Msumbiji wasubiri matokeo ya uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Shughuli ya kuhesabu kura katika uchaguzi mkuu wa Msumbiji, huku kukiwa na wasiwasi kwamba matokeo ya uchaguzi huo huenda yakawa mtihani mkubwa kwa amani na utuliv nchini humo.