Wafanyabiashara wa Mombasa wailalamikia serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyibiashara kutoka sekta ya uchukuzi mjini Mombasa, wanalalamika kuharibika kwa biashara zao kutokana na ujio wa reli ya kisasa ya mwendo wa wastani, SGR.