Mvutano wa baraza la wawakilishi na Trump waingia sura mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump yupo katika mvutano wa kikatiba na wanachama wa baraza la wawakilishi, kufuatia uchunguzi dhidi yake, wenye lengo la kumfungulia mashtaka na kumuondoa madarakani.