Duniani Leo October 14, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania leo imeadhimsha miaka 20 tangu kifo cha muasisi wa taifa hilo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Wafanyibiashara kutoka sekta ya uchukuzi mjini Mombasa, wanalalamika kuharibika kwa biashara zao kutokana na ujio wa reli ya kisasa ya mwendo wa wastani, SGR.