Mahojiano kamili ya Tundu Lissu na VOA, October 10 , 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa mbunge wa upinzani Tanzania, Tundu Lissu amefanya mazungumzo na Sauti ya Amerika, ambako amesema hatorudi Tanzania mpaka atakapo hakikishiwa usalama wake.