Duniani Leo October 9, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Tundu Lissu, anasema amesimamisha mpango wake wa kurejea nchini Tanzania mpaka hapo usalama wake utakapohakikishwa. Na Maafisa wa white house wamesema hawatashiriki katika kile wanasema ni kama uchunguzi usio wa kikatiba, dhidi ya rais Donald Trump.