Ukame wasababisha njaa Turkana

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi kubwa ya watu wanaoishi Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya, wanakumbwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na hali ya kiangazi na kukosekana kwa mvua.