Mashtaka ya kumuondoa Trump yaendelea kupata nguvu

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya jazba inaendelea kuongezeka Marekani huku uchunguzi unaolenga kumfungulia mashitaka ya kumwondoa madarakani rais Donald Trump ukiendelea kupata nguvu.