Trump amkaribisha mkuu mpya wa majeshi wa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump amemkaribisha rasmi mkuu mpya wa majeshi ya Marekani Jenerali Mark Mille, katika sherehe ya kula kiapu iliyofanyika katika kambi ya jeshi ya Myer Henderson Hall, Virginia.