China yatimiza miaka 70 ya ukomonisti

Your browser doesn’t support HTML5

China imeadhimisha miaka 70 ya utawala wa kikomunisti kwa kufanya maonyesho makubwa ya silaha zake na uwezo wa jeshi mjini Beijing. Rais Xi Jinping ameongoza maadhimisho hayo, akiahidi maendeleo na hali ya utulivu na kusema hakuna nguvu zinaweza kuitikisa China.