Wahujumu uchumi kurejesha mabilioni ya shilingi kwa serikali ya Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Muendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali Biswalo Mganga amemweleza rais John Magufuli kwamba takriban shilingi Bilioni 107. 8 zinatarajiwa kurejeshwa kutoka kwa watuhumiwa hao.