Cameroon yazindua mpango wa kuleta Maridhiano na amani

Your browser doesn’t support HTML5

Cameroon imezindua mpango wa kuleta amani na maridhiano katika juhudi za kumaliza mashambulizi katika mikoa inayozungumza kiingereza, yanayofanywa na makundi ya wapiganaji. Makundi hayo hata hivyo tayari yamekataa kushiriki mpango huo