Umasikini ndio chanzo cha migogoro Congo

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika yasiyo ya kiserikali katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yanataka serikali ya nchi hiyo kubadili mbinu inazotumia kurejesha hali ya utulivu na amani kote nchini.