Duniani Leo September 30, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Muendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali ya Tanzania Biswalo Mganga amemweleza rais John Magufuli kwamba takriban shilingi Bilioni 107. 8 zinatarajiwa kurejeshwa kutoka kwa watuhumiwa hao. Mwana mfalme murithi wa Saudi Arabia amesema huenda bei ya mafuta ikaongezeka katika kiwango kikubwa.