Duniani Leo September 27, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la kwanza la wahamiaji wa kiafrika waliokwama Libya, limewasili Rwanda, katika juhudi zisizo za kawaida za kuwasaidia wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi, walioshindwa kuingia Ulaya. DRC yaomba msaada wa kimataifa kukabiliana na changamoto za kiusalama na Ebola.