Boris kutuomba mda wa ziada kujiota kwenye umoja wa Ulaya

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesisitiza kwamba hataomba mda Zaidi kwa Uingereza kujiondoa umoja wa ulaya hata kama masharti ya mswada uliopitishwa hivi karibuni yatatimizwa, na hivyo kumlazimisha aombe muda zaidi