Matumizi ya gesi asilia bado ni mdogo Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Matumizi ya gesi asilia yanaelezwa kama mojawapo ya vichocheo vya kukuza sekta ya Viwanda. Lakini nchini Tanzania takwimu zinaonyesha kwamba idadi ndogo sana ya watu wanatumia gesi hiyo asilia kama nishati, licha ya mikakati ya serikali kuimarisha ukuaji wa viwanda.