Trump amshutumu Nancy Pelosi kuanzisha uchaguzi dhidi yake

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua ya spika wa Nancy Pelosi ya kuitisha uchunguzi wa kumfungulia mashtaka ya kumwondoa madarakani, kuhusiana na madai kwamba Trump alijaribu kuishawishi Ukraine kuchunguza familia ya makamu wa rais wa zamani Joe Biden.