Duniani Leo September 25, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amelaani hatua ya spika wa Nancy Pelosi ya kuitisha uchunguzi wa kumfungulia mashtaka ya kumwondoa madarakani. Na waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson afupisha ziara yake ya New York ambako alikuwa anahudhuria mkutano wa baraza kuu la Umoja wa matiafa.