Viongozi wa mataifa 150 wahudhuria mkutano wa umoja wa mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi kutoka zaidi ya mataifa 150 wanahudhuria mkutano wa 74 wa baraza kuu la umoja wa mataifa unaofunguliwa rasmi hii leo, mjini New York, hapa Marekani.