Wanafunzi nane wafa baada ya kuangukiwa na jengo Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi wanane wa shule ya msingi ya Precious Talent, katika mtaa wa Dagoreti jijini Nairobi, wamefariki baada ya kuangukiwa na jengo la shule. Wanafunzi wengine Zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika tukio hilo la leo asubuhi,