Wafanyabiashara waandamana Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabishara jijini Mombasa, Kenya wameandamana kwa mda wa Zaidi ya saa tano, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo kuwashurutisha kusafirisha mizigo kutoka bandarini Mombasa hadi Nairobi kwa kutumia reli ya mwendo wa wastani - SGR.