Stesheni ya train inayoongozwa na wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

Indiia imekuwa ya kwanza kuwa na kituo cha train ambacho kinaongozwa na viongozi wanawake, na pamoja na wafanyakazi wote wa kituoni kuwa wanawake.