Duniani Leo September 19, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu Benjamin Netanyahu, leo ametoa wito kwa mshindani wake wa karibu, Benny Gantz, kujiunga naye katika kuunda serikali ya mseto.Rais Donald Trump amemarisha waziri wake wa fedha kuiwekea Iran vikwazo vikali zaidi kufuatia tuhumu za kushambulia visima vya mafuta nchini Saudia Arabia