Duniani Leo August, 16 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Bei ya mafuta ghafi imepanda kwa kiwango cha juu katika muda wa miezi minne hii leo kufuatia mashambulizi ya viwanda vikubwa vya mafuta vya Saudi Arabia mwishoni mwa wiki. Kesi za ugonjwa wa Malaria bado ni tishio kubwa kwa nchi ya Sudan Kusini.