Mugabe kuzikwa kijijini kwake
Your browser doesn’t support HTML5
Familia ya aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, ambaye aliaga dunia wiki iliyopita, imesema kuwa mwili wa mwanasiasa huyo mkongwe, utazikwa kijijini kwake, katika mji wa Kutama, ulio Kaskazini Mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Harare.