Mdahalo wa Democratic kufanyika leo

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea wa juu wa chama cha Democratic wanaowania uteuzi katika uchaguzi wa rais mwaka ujao hapa Marekani leo usiku watakuwa Houston , Texas .