Waziri mkuu wa Bahamas aelezea masikitiko yake baada ya kimbunga Dorian

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa visiwa vya Bahamas Hurbert Minnis, amesema hakuna maneno ya kutosha yanayoweza kueleza maafa yaliyotokea kufuatia kimbunga cha hatari cha Dorian kuharibu sehemu ya nchi yake.