Duniani Leo September 12, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Familia ya aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, imesema mwili wa mwanasiasa huyo mkongwe, utazikwa kijijini kwake, katika mji wa Kutama. Na Rais wa Sudan Kusini na kiongozi wa upinzani Riek Machar waahidi kutatua utata baina yao na kuunda serikali ya umoja mwezi November.