Boris ahairisha bunge la Uingereza
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameahirisha kikao cha baraza kuu la bunge kwa muda wa wiki tano baada ya wabunge kupiga kura kupinga pendekezo lake la kuitisha uchaguzi wa mapema.