Duniani Leo September 10, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Sudan kusini Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Dkt. Riek Machar, wamekubaliana kuanza kutekeleza awamu ya pili ya mkataba wa amani. Na waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameahirisha kikao cha baraza kuu la bunge la nchi hiyo kwa muda wa wiki tano .