Maafa ya kimbunga Dorian yaongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Bahamas awansema wanaendelea na shughuli za uokoaji, wakiwatafuta manusura wa kimbunga Dorian, kilichosababisha uharibifu mkubwa katika sehemu hiyo, wiki iliyopita.