Mataifa ya Afrika yatoa wito kwa Afrika Kusini kukemea ghasia dhidi ya wahamiaji
Your browser doesn’t support HTML5
Mataifa ya Afrika yanatowa wito kwa Afrika kusini kukomesha ghasia dhidi ya wahamiaji wa kiafrika wanaoishi nchini humo, huku vijana na wanafunzi wa Nigeria na Zambia waandamana kutaka makampuni ya Afrika Kusini kuondoka nchini mwao.