Ramaphosa alaavi vitendo vya mashambulizi ya chuki

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amelaani vitendo vya uporaji wa mali ulofanyika mapema wiki hii pamoja na mashambulizi na kuchomwa moto maduka ya wafanyabiashara wa kigeni Jijini Johannesburg na mji mkuu Pretoria.