Washikadao wa kilimo wa Afrika wakutana kwenye kongamano

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wa kilimo na viongozi kutoka nchi mbali mbali za Afrika wanakutana Accra, Ghana kwa kongamano la mabadiliko katika kilimo AGRF, la mwaka 2019.