Chama cha upinzani cha laani mashambulizi ya chuki dhidi ya wangeni
Your browser doesn’t support HTML5
Chama cha upinzani nchini Afrika kusini cha Economic freedom fighters - EFF, kimelaani vikali mashambulio ya chuki dhidi ya wageni hasa waafrika yanayotekelezwa na vijana nchini humo.