Duniani leo September 3, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wa kilimo na viongozi kutoka nchi mbali mbali za Afrika wanakutana Accra, Ghana kwa kongamano la mabadiliko katika kilimo AGRF, la mwaka 2019. Chama cha upinzani nchini Afrika kusini cha Economic freedom fighters - EFF, kimelaani vikali mashambulio ya chuki dhidi ya wageni nchini humo.