Utata bado waendela Hong Kong

Your browser doesn’t support HTML5

Jiji kuu la biashara barani Asia, Hong Kong limekumbwa tena na malalamiko na maandamano kutoka kwa wanaharakati waliojaribu kuzuia usafiri wa treni, baada ya maandamano yaliyokuwa na ghasia nyingi mwishoni mwa wiki.