Duniani September 2, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa idara ya wanyama pori Kenya wamefanikiwa kupata miili sita ya watu waliokufa kutokana na mafuriko katika hifadhi ya taifa ya Hell’s gate. Na Watu watano wamekufa baada ya mtu aliyekuwa akiendesha gari kuwapiga risasi zaidi ya watu 20 kabla ya kuuawa, magharibi mwa Texas.