Duniani Leo August, 30 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa afya nchini Uganda wameripoti kifo kutokana na maambukizi ya virusi vya Ebola katika wilaya ya Kasese, mpakani na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Kimbunga kilichopewa jina Dorian, kinatarajiwa kusababisha uharibifu mkubwa kitakapotua Florida.