Usimamizi wa raslimali Afrika na maendeleo endelevu

Your browser doesn’t support HTML5

Ili bara la Afrika linufaike vilivyo na rasilimali zilizopo barani humo usimamizi na kuweka mbele maslahi ya bara hilo havina budi kusimamiwa hatua itakayowezesha mageuzi ya kiuchumi na kijamii.