Ufarasa na Brazil zalumbana kuhusu moto wa Amazon

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Ufaransa na Brazil wanaendelea kujibizana kwa maneno makali kuhusu moto unaoendelea kuteketeza msitu mkubwa kabisa duniani wa Amzon, huku wataalam wakionya kwamba msimu wa matukio kadhaa ya moto katika msitu huo mkubwa Zaidi duniani hayajafika kilele chake.