Vifaru weupe kuongezewa ulinzi

Your browser doesn’t support HTML5

Vifaru weupe, wawili pekee walio hai kote duniani, wanaishi chini ya ulinzi mkali, lakini hawawezi kuzaana kwa sababu wote ni wa kike.