Viongozi wa Afrika wakutana Tokyo

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi kutoka mataifa ya Afrika, taasisi za kimataifa wanakutana hivi leo huko Yokohama, Japan kwa kikao cha karibuni cha mkutano wa kimataifa unaojulikana kama Tokyo International Conference on African Development – TICAD.