Biashara ya haramu ya binaadamu na madhara yake

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la kupambana na biashara haramu ya a binadamu nchini Nigeria, linawarejesha nyumbani na kuwasaidia wanawake walioathiriwa na biashara hii kuishi na jamii zao.