Wanawake waendesha pikipiki Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la wanawake waendesha pikipiki wanaojulikana kama PIKI DADA linaendelea kupata umaarufu nchini Kenya na kuvutia wanawake wengi ambao wamekuwa na dhana kuwa kuendesha pikipiki ni hatari kwa wanawake.