Duniani Leo August, 27 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi mkuu wa Hong Kong Carrie Lam amesema leo yuko tayari kufanya majadiliano na waandamanaji lakini serikali haitapuuzia ghasia. Rais wa Iran, Hassan Rouhani, amesema hayuko tayari kwa mazungumzo yoyote na Marekani, hadi pale utawala wa Trump, utakapoondoa vikwazo vilivyowekewa nchi yake.