Madaktari wasaidia wahanga wa moto Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Jijini Mombasa, Kenya, Hospitali za kibinafsi na mashirika ya kimataifa ya madaktari wataalamu wa upasuaji wanaendelea na jitihada za kuwasaidia wahanga wa matukio ya moto, ukatili wa majumbani, aina tofauti za ajali, ambazo husababisha watu wengi hasa watoto na wanawake kuishi na ulemavu