Wahamiaji 100 waliokuwa kwenye meli ya wahisani wafika Italia

Your browser doesn’t support HTML5

Karibu wahamiaji 100 waliokuwa wamekwama baharini kwenye meli ya kutoa msaada ya Open arms, pwani ya Lampedusa, hatimaye wameshuka kutoka kwenye meli hiyo katika kisiwa cha Italia, jumanne usiku.