Ni miaka 400 tangu watumwa wa kwanza kuwasili Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Mwaka huu, unaadhimisha miaka 400 tangu waafrika wa kwanza waliofanywa watumwa kuwasili ardhi ya marekani. Kuwasili katika koloni la uingereza la Virginia wakati huo kwa meli iliyokuwa imebeba waafrika kutoka angola ilikuwa ndio mwanzo wa zaidi ya miaka 200 ya biashara ya utumwa marekani